Saturday, December 24, 2016

ZAWADI YAKO MSIMU HUU WA SIKUKUU.

Asanteni nyote kwa kuwa sehemu ya "MTANDAO WA ZINDUKASASA" kama watembeleaji, wasomaji na wachangiaji kwa mwaka mzima wa 2016. Tunawatakia kheri katika msimu huu wa sikukuu na mwaka mpya wa 2017.

No comments:

Post a Comment