Hujambo rafiki karibu sana siku hii ya leo tujifunze KUTENGENEZA LOTION
Maitaji
Unawasha jiko kwa moto wa wastani unabandika sufuria yako
Kisha weka White oil kwenye sufuria ongeza na micro wax kilo moja n nusu
Baada ya hapo weka perfume vijiko viwili na uache ichemke kwa dakika kumi
Kisha ipua sufuria yako na kusubiri ipoe na kuanzia hapo unaweza kuiweka kwenye makopo tayari lotion kamili.
Asante sana kwa kuutembelea mtandao huu na kujifunza JINSI YA KUTENGENEZA LOTION
Maitaji
- Micro wax kilo moja na nusu
- White oil lita tatu
- Perfume vijiko viwili
Unawasha jiko kwa moto wa wastani unabandika sufuria yako
Kisha weka White oil kwenye sufuria ongeza na micro wax kilo moja n nusu
Baada ya hapo weka perfume vijiko viwili na uache ichemke kwa dakika kumi
Kisha ipua sufuria yako na kusubiri ipoe na kuanzia hapo unaweza kuiweka kwenye makopo tayari lotion kamili.
Asante sana kwa kuutembelea mtandao huu na kujifunza JINSI YA KUTENGENEZA LOTION
vizuri sana je najinsi ya kuweka rangi
ReplyDeletehio microwax na white oil vinapatkana wapi
ReplyDeleteMh,mbona nimefanya hivyo yakaja mafuta ya mgando?
ReplyDeleteOngeza pola wax kilo 2
ReplyDeleteEnter your comment...be blessed
ReplyDelete